Carl Foch alishinda pambano lake dhidi ya George Groves huko Manchester kwa bahati baada ya refa kusimamisha pambano...Froch alikuwa anachapwa toka mwanzo lakini alipumua alivyo pewa ushindi baaada ya muamuzi kuona Groves ameumia...Wataalam wengi wa mchezo huu wanasema refa alichemsha kusimamisha mechi...Froch alilamba canvas round ya kwanza jinsi ambavyo makonde yalivyokuwa yanamchapa...Soma zaidi kuhusu pambano hili hapa...Froch ni bingwa wa WBA na IBF...
0 Yorumlar